Native Bible

Mark 4:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha Yesu akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”

Mark 4:9 in English

Mark 4:9 · Berean Standard Bible

Then Jesus said, “He who has ears to hear, let him hear.”

Context

7Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea, hivyo haikutoa mazao. 8Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri, zikaota vizuri na kukua, zikatoa mazao, moja mara thelathini, nyingine mara sitini, na nyingine mara mia moja.” 9Kisha Yesu akasema, “Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” 10Alipokuwa peke yake, watu waliokuwepo naye pamoja na wanafunzi wake kumi na wawili wakamuuliza kuhusu mifano yake. 11Naye akawaambia, “Ninyi mmepewa kujua siri ya Ufalme wa Mungu. Lakini kwa wale walioko nje, kila kitu husemwa kwao kwa mifano,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.