Native Bible

Mark 14:40 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Aliporudi, akawakuta tena wamelala kwa sababu macho yao yalikuwa mazito. Nao hawakujua la kumwambia.

Mark 14:40 in English

Mark 14:40 · Berean Standard Bible

And again Jesus returned and found them sleeping—for their eyes were heavy. And they did not know what to answer Him.

Context

38Kesheni na mwombe, msije mkaingia majaribuni. Roho iko radhi, lakini mwili ni mdhaifu.” 39Akaenda tena kuomba, akisema maneno yale yale. 40Aliporudi, akawakuta tena wamelala kwa sababu macho yao yalikuwa mazito. Nao hawakujua la kumwambia. 41Akaja mara ya tatu, akawaambia, “Bado mmelala na kupumzika? Imetosha! Saa imewadia. Tazameni, Mwana wa Adamu anasalitiwa na kutiwa mikononi mwa wenye dhambi. 42Inukeni, twende zetu! Tazameni, msaliti wangu yuaja!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.