Native Bible

Mark 11:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’…” (Waliwaogopa watu, kwa sababu kila mtu aliamini kwamba Yohana alikuwa nabii wa kweli.)

Mark 11:32 in English

Mark 11:32 · Berean Standard Bible

But if we say, ‘From men’...” they were afraid of the people, for they all held that John truly was a prophet.

Context

30Niambieni, je, ubatizo wa Yohana ulitoka mbinguni au kwa wanadamu?” 31Wakahojiana wao kwa wao, wakisema, “Kama tukisema, ‘Ulitoka mbinguni,’ atatuuliza, ‘Mbona hamkumwamini?’ 32Lakini tukisema, ‘Ulitoka kwa wanadamu,’…” (Waliwaogopa watu, kwa sababu kila mtu aliamini kwamba Yohana alikuwa nabii wa kweli.) 33Kwa hiyo wakamjibu Yesu, “Hatujui.” Naye Yesu akawaambia, “Wala mimi sitawaambia ni kwa mamlaka gani ninatenda mambo haya.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.