Marko 10:20
Mark 10:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akamjibu, “Mwalimu, amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.”
Mark 10:20 in English
Mark 10:20 · Berean Standard Bible
“Teacher,” he replied, “all these I have kept from my youth.”
Context
18Yesu akamwambia, “Mbona unaniita mwema? Hakuna yeyote aliye mwema ila Mungu peke yake. 19Unazijua amri: ‘Usiue, usizini, usiibe, usishuhudie uongo, usidanganye, waheshimu baba yako na mama yako.’ ” 20Akamjibu, “Mwalimu, amri hizi zote nimezishika tangu nikiwa mtoto.” 21Yesu akamtazama na kumpenda, akamwambia, “Umepungukiwa na kitu kimoja. Nenda ukauze kila kitu ulicho nacho uwape maskini hizo fedha, nawe utakuwa na hazina mbinguni. Kisha njoo, unifuate.” 22Yule mtu aliposikia hayo, akasikitika sana. Akaondoka kwa huzuni kwa sababu alikuwa na mali nyingi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.