Marko 1:41
Mark 1:41 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu, akiwa amejawa na huruma, akanyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Nataka. Takasika!”
Mark 1:41 in English
Mark 1:41 · Berean Standard Bible
Moved with compassion,* Jesus reached out His hand and touched the man. “I am willing,” He said. “Be clean!”
Context
39Kwa hiyo akazunguka Galilaya kote, akihubiri katika masinagogi yao na kutoa pepo wachafu. 40Mtu mmoja mwenye ukoma alimjia Yesu, akamwomba akipiga magoti, akamwambia, “Ukitaka, waweza kunitakasa.” 41Yesu, akiwa amejawa na huruma, akanyoosha mkono wake akamgusa, akamwambia, “Nataka. Takasika!” 42Mara ukoma ukamtoka, naye akatakasika. 43Baada ya Yesu kumwonya vikali, akamruhusu aende zake
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.