Marko 1:37
Mark 1:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
nao walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta!”
Mark 1:37 in English
Mark 1:37 · Berean Standard Bible
and when they found Him, they said, “Everyone is looking for You!”
Context
35Alfajiri na mapema sana kulipokuwa bado kuna giza, Yesu akaamka, akaondoka, akaenda mahali pa faragha ili kuomba. 36Simoni na wenzake wakaenda kumtafuta, 37nao walipomwona, wakamwambia, “Kila mtu anakutafuta!” 38Yesu akawajibu, “Twendeni mahali pengine kwenye vijiji jirani, ili niweze kuhubiri huko pia, kwa sababu hicho ndicho nilichokuja kukifanya.” 39Kwa hiyo akazunguka Galilaya kote, akihubiri katika masinagogi yao na kutoa pepo wachafu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.