Native Bible

Mark 1:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mama mkwe wa Simoni alikuwa kitandani, ana homa, nao wakamweleza Yesu habari zake.

Mark 1:30 in English

Mark 1:30 · Berean Standard Bible

Simon’s mother-in-law was sick in bed with a fever, and they promptly told Jesus about her.

Context

28Sifa zake zikaanza kuenea haraka katika eneo lote la karibu na Galilaya. 29Mara walipotoka katika sinagogi, walikwenda pamoja na Yakobo na Yohana hadi nyumbani kwa Simoni na Andrea. 30Mama mkwe wa Simoni alikuwa kitandani, ana homa, nao wakamweleza Yesu habari zake. 31Hivyo Yesu akamwendea, akamshika mkono na kumwinua. Kisha homa ikamwacha, naye akaanza kuwahudumia. 32Jioni ile baada ya jua kutua, watu wakamletea Yesu wagonjwa wote na waliopagawa na pepo wachafu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.