Native Bible

Matthew 9:37 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi lakini watendakazi ni wachache.

Matthew 9:37 in English

Matthew 9:37 · Berean Standard Bible

Then He said to His disciples, “The harvest is plentiful, but the workers are few.

Context

35Yesu akazunguka katika miji yote na vijiji vyote, akifundisha katika masinagogi yao, akihubiri habari njema za Ufalme, na akiponya kila ugonjwa na kila aina ya maradhi. 36Alipoona makutano, aliwahurumia kwa sababu walikuwa wanasumbuka bila msaada, kama kondoo wasiokuwa na mchungaji. 37Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Mavuno ni mengi lakini watendakazi ni wachache. 38Kwa hiyo mwombeni Bwana wa mavuno, ili apeleke watendakazi katika shamba lake la mavuno.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.