Native Bible

Matthew 9:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yesu akaingia kwenye chombo, akavuka na kufika katika mji wa kwao.

Matthew 9:1 in English

Matthew 9:1 · Berean Standard Bible

Jesus got into a boat, crossed over, and came to His own town.

Context

1Yesu akaingia kwenye chombo, akavuka na kufika katika mji wa kwao. 2Wakati huo huo wakamletea mtu aliyepooza, akiwa amelazwa kwenye mkeka. Yesu alipoiona imani yao, alimwambia yule mtu aliyepooza, “Mwanangu, jipe moyo mkuu. Dhambi zako zimesamehewa.” 3Kwa ajili ya jambo hili, baadhi ya walimu wa sheria wakasema mioyoni mwao, “Huyu mtu anakufuru!”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.