Mathayo 7:19
Matthew 7:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni.
Matthew 7:19 in English
Matthew 7:19 · Berean Standard Bible
Every tree that does not bear good fruit is cut down and thrown into the fire.
Context
17Vivyo hivyo, mti mwema huzaa matunda mazuri, na mti mbaya huzaa matunda mabaya. 18Mti mwema hauwezi kuzaa matunda mabaya, wala mti mbaya hauwezi kuzaa matunda mazuri. 19Kila mti usiozaa matunda mazuri hukatwa na kutupwa motoni. 20Hivyo, mtawatambua kwa matunda yao. 21“Si kila mtu aniambiaye, ‘Bwana, Bwana,’ atakayeingia katika Ufalme wa Mbinguni, bali ni yeye afanyaye mapenzi ya Baba yangu aliye mbinguni.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.