Mathayo 27:58
Matthew 27:58 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Akamwendea Pilato ili kumwomba mwili wa Yesu. Pilato akaamuru apewe.
Matthew 27:58 in English
Matthew 27:58 · Berean Standard Bible
He went to Pilate to ask for the body of Jesus, and Pilate ordered that it be given to him.
Context
56Miongoni mwao walikuwepo Maria Magdalene, na Maria mama yao Yakobo na Yosefu, na mama yao wana wa Zebedayo. 57Ilipofika jioni, alifika mtu mmoja tajiri kutoka Arimathaya aitwaye Yosefu, ambaye pia alikuwa mwanafunzi wa Yesu. 58Akamwendea Pilato ili kumwomba mwili wa Yesu. Pilato akaamuru apewe. 59Yosefu akauchukua mwili wa Yesu, akaufunga katika kitambaa cha kitani safi, 60na kuuweka katika kaburi lake mwenyewe jipya, alilokuwa amelichonga kwenye mwamba. Kisha akavingirisha jiwe kubwa katika ingilio la kaburi, akaenda zake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.