Mathayo 25:33
Matthew 25:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Atawaweka kondoo upande wake wa kuume, na mbuzi upande wake wa kushoto.
Matthew 25:33 in English
Matthew 25:33 · Berean Standard Bible
He will place the sheep on His right and the goats on His left.
Context
31“Mwana wa Adamu atakapokuja katika utukufu wake na malaika wote watakatifu pamoja naye, ndipo atakapoketi juu ya kiti cha enzi cha utukufu wake. 32Mataifa yote watakusanyika mbele zake, naye atawatenga kama mchungaji anavyotenga kondoo na mbuzi. 33Atawaweka kondoo upande wake wa kuume, na mbuzi upande wake wa kushoto. 34“Ndipo Mfalme atawaambia wale walioko upande wake wa kuume, ‘Njooni, ninyi mliobarikiwa na Baba yangu; urithini Ufalme ulioandaliwa kwa ajili yenu tangu kuumbwa kwa ulimwengu. 35Kwa maana nilikuwa na njaa mkanipa chakula, nilikuwa na kiu mkaninywesha, nilikuwa mgeni mkanikaribisha,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.