Mathayo 25:28
Matthew 25:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Basi mnyangʼanyeni hiyo talanta, mkampe yule mwenye talanta kumi.
Matthew 25:28 in English
Matthew 25:28 · Berean Standard Bible
Therefore take the talent from him and give it to the one who has ten talents.
Context
26“Bwana wake akajibu, ‘Wewe mtumishi mwovu na mvivu! Ulijua kwamba ninavuna mahali nisipopanda na kukusanya mahali nisipotawanya mbegu. 27Vyema basi, ingekupasa kuweka fedha yangu kwa watoa riba, ili nirudipo, nichukue ile iliyo yangu na faida yake. 28“ ‘Basi mnyangʼanyeni hiyo talanta, mkampe yule mwenye talanta kumi. 29Kwa maana kila mtu aliye na kitu atapewa zaidi, naye atakuwa navyo tele. Lakini yule asiye na kitu, hata kile alicho nacho atanyangʼanywa. 30Nanyi mtupeni huyo mtumishi asiyefaa nje, kwenye giza, mahali ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.