Mathayo 22:2
Matthew 22:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.
Matthew 22:2 in English
Matthew 22:2 · Berean Standard Bible
“The kingdom of heaven is like a king who prepared a wedding banquet for his son.
Context
1Yesu akasema nao tena kwa mifano, akawaambia, 2“Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi. 3Akawatuma watumishi wake kuwaita wale waliokuwa wamealikwa karamuni, lakini wakakataa kuja. 4“Kisha akawatuma watumishi wengine akisema, ‘Waambieni wale walioalikwa kwamba nimeandaa chakula. Nimekwisha kuchinja mafahali wangu na vinono, karamu iko tayari. Karibuni kwa karamu ya arusi.’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.