Native Bible

Matthew 20:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

naye anayetaka kuwa wa kwanza miongoni mwenu hana budi kuwa mtumwa wenu:

Matthew 20:27 in English

Matthew 20:27 · Berean Standard Bible

and whoever wants to be first among you must be your slave—

Context

25Lakini Yesu akawaita wote pamoja na kuwaambia, “Mnafahamu kuwa watawala wa watu wa Mataifa huwatawala kwa nguvu, nao wenye vyeo huonyesha mamlaka yao. 26Isiwe hivyo kwenu. Badala yake, yeyote anayetaka kuwa mkuu miongoni mwenu hana budi kuwa mtumishi wenu, 27naye anayetaka kuwa wa kwanza miongoni mwenu hana budi kuwa mtumwa wenu: 28kama vile ambavyo Mwana wa Adamu hakuja ili kutumikiwa, bali kutumika na kuutoa uhai wake uwe fidia kwa ajili ya wengi.” 29Yesu na wanafunzi wake walipokuwa wakiondoka Yeriko, umati mkubwa wa watu ulimfuata.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.