Native Bible

Matthew 19:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akawaponya huko.

Matthew 19:2 in English

Matthew 19:2 · Berean Standard Bible

Large crowds followed Him, and He healed them there.

Context

1Yesu alipomaliza kusema maneno haya, aliondoka Galilaya, akaenda sehemu za Uyahudi, ngʼambo ya Mto Yordani. 2Umati mkubwa wa watu ukamfuata, naye akawaponya huko. 3Baadhi ya Mafarisayo wakamjia ili kumjaribu, wakamuuliza, “Ni halali mtu kumwacha mke wake kwa sababu yoyote?” 4Akawajibu, “Je, hamkusoma kwamba hapo mwanzo Muumba aliwaumba mwanaume na mwanamke,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.