Mathayo 17:18
Matthew 17:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akamkemea yule pepo mchafu, akamtoka yule kijana, naye akapona saa ile ile.
Matthew 17:18 in English
Matthew 17:18 · Berean Standard Bible
Then Jesus rebuked the demon, and it came out of the boy, and he was healed from that moment.
Context
16Nilimleta kwa wanafunzi wako, lakini hawakuweza kumponya.” 17Yesu akajibu, “Enyi kizazi kisichoamini na kilichopotoka! Nitakaa nanyi mpaka lini? Nitawavumilia mpaka lini? Mleteni mvulana hapa kwangu.” 18Yesu akamkemea yule pepo mchafu, akamtoka yule kijana, naye akapona saa ile ile. 19Kisha wanafunzi wakamwendea Yesu wakiwa peke yao, wakamuuliza, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?” 20Akawajibu, “Kwa sababu ya imani yenu ndogo. Ninawaambia kweli, mkiwa na imani ndogo kama punje ya haradali, mtauambia mlima huu, ‘Ondoka hapa uende pale,’ nao utaondoka. Wala hakutakuwa na jambo lisilowezekana kwenu. [
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.