Mathayo 15:35
Matthew 15:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yesu akawaambia ule umati wa watu waketi chini.
Matthew 15:35 in English
Matthew 15:35 · Berean Standard Bible
And He instructed the crowd to sit down on the ground.
Context
33Wanafunzi wake wakasema, “Tutapata wapi mikate ya kutosha kuwalisha umati huu wa watu mkubwa namna hii, nasi tuko nyikani?” 34Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?”
Wakamjibu, “Tunayo mikate saba na visamaki vichache.” 35Yesu akawaambia ule umati wa watu waketi chini. 36Kisha akachukua ile mikate saba na wale samaki, naye akiisha kumshukuru Mungu, akavimega na kuwapa wanafunzi wake, nao wakawapa ule umati wa watu. 37Wote wakala na kushiba. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.