Mathayo 13:9
Matthew 13:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Matthew 13:9 in English
Matthew 13:9 · Berean Standard Bible
He who has ears,* let him hear.”
Context
7Mbegu nyingine zilianguka kwenye miiba, nayo miiba hiyo ikakua, ikaisonga hiyo mimea. 8Mbegu nyingine zilianguka kwenye udongo mzuri ambapo zilitoa mazao, nyingine mara mia moja, nyingine mara sitini, na nyingine mara thelathini. 9Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.” 10Wanafunzi wake wakamwendea, wakamuuliza, “Kwa nini unasema na watu kwa mifano?” 11Akawajibu, “Ninyi mmepewa kuzifahamu siri za Ufalme wa Mbinguni, lakini wao hawajapewa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.