Native Bible

Matthew 10:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake, wala mtumishi hamzidi bwana wake.

Matthew 10:24 in English

Matthew 10:24 · Berean Standard Bible

A disciple is not above his teacher, nor a servant above his master.

Context

22Watu wote watawachukia kwa ajili ya Jina langu. Lakini yule atakayevumilia hadi mwisho ataokolewa. 23Wakiwatesa katika mji mmoja, kimbilieni mji mwingine. Amin, amin nawaambia, hamtamaliza miji yote ya Israeli kabla Mwana wa Adamu kuja. 24“Mwanafunzi hawezi kumzidi mwalimu wake, wala mtumishi hamzidi bwana wake. 25Yatosha mwanafunzi kuwa kama mwalimu wake, na mtumishi kuwa kama bwana wake. Ikiwa mkuu wa nyumba ameitwa Beelzebuli,* je, si watawaita zaidi wale wa nyumbani mwake! 26“Kwa hiyo msiwaogope hao, kwa maana hakuna kilichofichika ambacho hakitafunuliwa, wala hakuna siri ambayo haitajulikana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.