Mathayo 1:3
Matthew 1:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari, Peresi akamzaa Hesroni, Hesroni akamzaa Aramu,
Matthew 1:3 in English
Matthew 1:3 · Berean Standard Bible
Judah was the father of Perez and Zerah by Tamar, Perez the father of Hezron, and Hezron the father of Ram.*
Context
1Habari za ukoo wa Yesu Kristo mwana wa Daudi, mwana wa Abrahamu: 2Abrahamu akamzaa Isaki,
Isaki akamzaa Yakobo,
Yakobo akawazaa Yuda na ndugu zake, 3Yuda akawazaa Peresi na Zera, ambao mama yao alikuwa Tamari,
Peresi akamzaa Hesroni,
Hesroni akamzaa Aramu, 4Aramu akamzaa Aminadabu,
Aminadabu akamzaa Nashoni,
Nashoni akamzaa Salmoni, 5Salmoni akamzaa Boazi, na mama yake Boazi alikuwa Rahabu,
Boazi akamzaa Obedi, ambaye mama yake alikuwa Ruthu,
Obedi akamzaa Yese,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.