Luka 5:39
Luke 5:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wala hakuna mtu anayependelea divai mpya baada ya kunywa divai ya zamani, bali husema, ‘Ile ya zamani ni nzuri zaidi.’ ”
Luke 5:39 in English
Luke 5:39 · Berean Standard Bible
And no one after drinking old wine wants new, for he says, ‘The old is better.’”
Context
37Hakuna mtu awekaye divai mpya kwenye viriba vikuukuu. Akifanya hivyo, hiyo divai mpya itavipasua hivyo viriba, nayo yote itamwagika. 38Divai mpya lazima iwekwe kwenye viriba vipya. 39Wala hakuna mtu anayependelea divai mpya baada ya kunywa divai ya zamani, bali husema, ‘Ile ya zamani ni nzuri zaidi.’ ”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.