Luka 22:29
Luke 22:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Nami kama Baba yangu alivyonipa ufalme, kadhalika mimi nami ninawapa ninyi,
Luke 22:29 in English
Luke 22:29 · Berean Standard Bible
And I bestow on you a kingdom, just as My Father has bestowed one on Me,
Context
27Kwani ni nani aliye mkuu? Ni yule aketiye mezani au ni yule ahudumuye? Si ni yule aliyekaa mezani? Lakini mimi niko miongoni mwenu kama yule ahudumuye. 28Ninyi mmekuwa pamoja nami katika majaribu yangu. 29Nami kama Baba yangu alivyonipa ufalme, kadhalika mimi nami ninawapa ninyi, 30ili mpate kula na kunywa mezani pangu katika karamu ya ufalme wangu, na kukaa katika viti vya enzi, mkihukumu makabila kumi na mawili ya Israeli.” 31Yesu akasema, “Simoni, Simoni, sikiliza, Shetani ameomba kuwapepeta ninyi wote kama ngano.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.