Luka 21:32
Luke 21:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia.
Luke 21:32 in English
Luke 21:32 · Berean Standard Bible
Truly I tell you, this generation will not pass away until all these things have happened.
Context
30Inapochipua majani, ninyi wenyewe mnaweza kuona na kutambua wenyewe ya kuwa wakati wa kiangazi umekaribia. 31Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia. 32“Amin, nawaambia, kizazi hiki hakitapita hadi mambo haya yote yawe yametimia. 33Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.” 34“Jihadharini mioyo yenu isije ikalemewa na anasa, ulevi na fadhaa za maisha haya, nayo siku ile ikawakuta ninyi bila kutazamia kama vile mtego unasavyo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.