Native Bible

Luke 21:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Akawaambia mfano huu: “Uangalieni mtini na miti mingine yote.

Luke 21:29 in English

Luke 21:29 · Berean Standard Bible

Then Jesus told them a parable: “Look at the fig tree and all the trees.

Context

27Wakati huo ndipo watakapomwona Mwana wa Adamu akija mawinguni pamoja na uweza na utukufu mkuu. 28Mambo haya yatakapoanza kutendeka, simameni na mkaviinue vichwa vyenu, kwa sababu ukombozi wenu umekaribia.” 29Akawaambia mfano huu: “Uangalieni mtini na miti mingine yote. 30Inapochipua majani, ninyi wenyewe mnaweza kuona na kutambua wenyewe ya kuwa wakati wa kiangazi umekaribia. 31Vivyo hivyo, myaonapo mambo haya yakitukia, mnatambua kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.