Luka 2:19
Luke 2:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Maria akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari.
Luke 2:19 in English
Luke 2:19 · Berean Standard Bible
But Mary treasured up all these things and pondered them in her heart.
Context
17Walipomwona yule mtoto, wakawaeleza yale waliyokuwa wameambiwa kuhusu huyo mtoto. 18Nao wote waliosikia habari hizi wakastaajabia yale waliyoambiwa na wale wachungaji wa kondoo. 19Lakini Maria akayaweka mambo haya yote moyoni mwake na kuyatafakari. 20Wale wachungaji wakarudi, huku wakimtukuza Mungu na kumsifu kwa ajili ya mambo yote waliyokuwa wameambiwa na kuyaona. 21Hata zilipotimia siku nane, ulikuwa ndio wakati wa kumtahiri mtoto, akaitwa Yesu, jina alilokuwa amepewa na malaika kabla hajatungwa mimba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.