Luka 17:5
Luke 17:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mitume wake wakamwambia Bwana, “Tuongezee imani.”
Luke 17:5 in English
Luke 17:5 · Berean Standard Bible
The apostles said to the Lord, “Increase our faith!”
Context
3Kwa hiyo, jilindeni.
“Kama ndugu yako akikukosea mwonye, naye akitubu, msamehe. 4Kama akikukosea mara saba kwa siku moja na mara saba kwa siku moja akaja kwako akisema, ‘Ninatubu,’ msamehe.” 5Mitume wake wakamwambia Bwana, “Tuongezee imani.” 6Bwana akawajibu, “Kama mkiwa na imani ndogo kama punje ya haradali, mngeweza kuuambia mti huu wa mkuyu, ‘Ngʼoka ukaote baharini,’ nao ungewatii. 7“Ikiwa mmoja wenu ana mtumishi anayelima shambani au anayechunga kondoo, je, mtumishi huyo arudipo atamwambia, ‘Karibu hapa keti ule chakula?’
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.