Luka 14:34
Luke 14:34 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena?
Luke 14:34 in English
Luke 14:34 · Berean Standard Bible
Salt is good, but if the salt loses its savor, with what will it be seasoned?
Context
32Kama hawezi, basi wakati yule mwingine akiwa bado yuko mbali, yeye hutuma ujumbe wa watu na kuomba masharti ya amani. 33Vivyo hivyo, yeyote miongoni mwenu ambaye hawezi kuacha vyote alivyo navyo, hawezi kuwa mwanafunzi wangu. 34“Chumvi ni nzuri, lakini chumvi ikiwa imepoteza ladha yake, itafanywaje ili iweze kukolea tena? 35Haifai ardhi wala kwa lundo la mbolea, bali hutupwa nje.
“Mwenye masikio ya kusikia, na asikie.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.