Native Bible

Luke 14:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Naye mwingine akasema, ‘Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.’

Luke 14:20 in English

Luke 14:20 · Berean Standard Bible

Still another said, ‘I have married a wife, so I cannot come.’

Context

18“Lakini wote, kila mmoja, wakaanza kutoa udhuru: Wa kwanza akasema, ‘Nimenunua shamba, lazima niende kuliona. Tafadhali niwie radhi.’ 19“Mwingine akasema, ‘Ndipo tu nimenunua jozi tano za ngʼombe wa kulimia, nami ninakwenda kuwajaribu, tafadhali niwie radhi.’ 20Naye mwingine akasema, ‘Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.’ 21“Yule mtumishi akarudi, akampa bwana wake taarifa. Ndipo yule mwenye nyumba akakasirika, akamwagiza yule mtumishi wake, akisema, ‘Nenda upesi kwenye mitaa na vichochoro vya mjini uwalete maskini, vilema, vipofu na viwete.’ 22“Yule mtumishi akamwambia, ‘Bwana, yale uliyoniagiza nimefanya, lakini bado ipo nafasi.’

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.