Native Bible

Luke 12:57 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki?

Luke 12:57 in English

Luke 12:57 · Berean Standard Bible

And why don’t you judge for yourselves what is right?

Context

55Nanyi mwonapo upepo wa kusini ukivuma, ninyi husema, ‘Kutakuwa na joto,’ na huwa hivyo. 56Enyi wanafiki! Mnajua jinsi ya kutambua kuonekana kwa dunia na anga. Inakuwaje basi kwamba mnashindwa kutambua wakati huu wa sasa? 57“Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki? 58Uwapo njiani na mshtaki wako kwenda kwa hakimu, jitahidi kupatana naye mkiwa njiani. La sivyo, atakupeleka kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa afisa, naye afisa atakutupa gerezani. 59Nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.