Native Bible

Luke 12:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Lakini Yesu akamwambia, “Rafiki, ni nani aliyeniweka mimi kuwa hakimu wenu au msuluhishi juu yenu?”

Luke 12:14 in English

Luke 12:14 · Berean Standard Bible

But Jesus replied, “Man, who appointed Me judge or executor between you?”

Context

12Kwa maana Roho Mtakatifu atawafundisha wakati huo huo mnachopaswa kusema.” 13Mtu mmoja katika umati wa watu akamwambia Yesu, “Mwalimu, mwambie ndugu yangu tugawane naye urithi wetu.” 14Lakini Yesu akamwambia, “Rafiki, ni nani aliyeniweka mimi kuwa hakimu wenu au msuluhishi juu yenu?” 15Ndipo Yesu akawaambia, “Jihadharini! Jilindeni na aina zote za choyo. Kwa maana maisha ya mtu hayatokani na wingi wa mali alizo nazo.” 16Kisha akawaambia mfano huu: “Shamba la mtu mmoja tajiri lilizaa sana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.