Native Bible

Leviticus 9:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Katika siku ya nane, Mose akawaita Aroni na wanawe, na wazee wa Israeli.

Leviticus 9:1 in English

Leviticus 9:1 · Berean Standard Bible

On the eighth day Moses summoned Aaron and his sons and the elders of Israel.

Context

1Katika siku ya nane, Mose akawaita Aroni na wanawe, na wazee wa Israeli. 2Akamwambia Aroni, “Chukua ndama dume kwa ajili ya sadaka yako ya dhambi, na kondoo dume kwa sadaka yako ya kuteketezwa, wote wawili wasiwe na dosari, nao uwalete mbele za Bwana. 3Kisha waambie Waisraeli: ‘Chukueni mbuzi dume kwa ajili ya sadaka ya dhambi, na ndama na mwana-kondoo, wote wawili wawe wa umri wa mwaka mmoja, na wasio na dosari, kwa ajili ya sadaka ya kuteketezwa,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.