Native Bible

Leviticus 6:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kila mwanaume katika familia ya kuhani aweza kula nyama hiyo; ni takatifu sana.

Leviticus 6:29 in English

Leviticus 6:29 · Berean Standard Bible

Any male among the priests may eat it; it is most holy.

Context

27Chochote kitakachogusa nyama yoyote ya hiyo sadaka kitakuwa kitakatifu, na kama hiyo damu itadondokea juu ya vazi, lazima uifulie mahali patakatifu. 28Chungu cha udongo kitakachopikiwa nyama lazima kivunjwe, lakini kama imepikiwa kwenye chombo cha shaba, chombo hicho kitasuguliwa na kusuuzwa kwa maji. 29Kila mwanaume katika familia ya kuhani aweza kula nyama hiyo; ni takatifu sana. 30Lakini kila sadaka ya dhambi ambayo damu yake imeletwa ndani ya Hema la Kukutania kufanya upatanisho katika Mahali Patakatifu kamwe haitaliwa; lazima iteketezwe.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.