Walawi 6:23
Leviticus 6:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila sadaka ya nafaka ya kuhani itateketezwa kabisa; kamwe haitaliwa.”
Leviticus 6:23 in English
Leviticus 6:23 · Berean Standard Bible
Every grain offering for a priest shall be burned completely; it is not to be eaten.”
Context
21Iandae kwa mafuta kwenye kikaango; ilete ikiwa imechanganywa vizuri, na utoe hiyo sadaka ya nafaka ikiwa imevunjwa vipande vipande kuwa harufu nzuri ya kumpendeza Bwana. 22Mwanawe atakayeingia mahali pake kama kuhani aliyetiwa mafuta ndiye atakayeiandaa. Ni fungu la kawaida la Bwana, nalo litateketezwa kabisa. 23Kila sadaka ya nafaka ya kuhani itateketezwa kabisa; kamwe haitaliwa.” 24Bwana akamwambia Mose, 25“Mwambie Aroni na wanawe: ‘Haya ndiyo masharti kwa ajili ya sadaka ya dhambi: Sadaka ya dhambi itachinjiwa mbele za Bwana mahali sadaka ya kuteketezwa huchinjiwa, ni takatifu sana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.