Walawi 3:12
Leviticus 3:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“ ‘Kama sadaka yake ni mbuzi, ataileta mbele za Bwana.
Leviticus 3:12 in English
Leviticus 3:12 · Berean Standard Bible
If one’s offering is a goat, he is to present it before the LORD.
Context
10figo mbili pamoja na mafuta yanayozizunguka yaliyo karibu na kiuno na yale yanayofunika ini, ambayo atayatoa pamoja na figo. 11Kuhani ataviteketeza juu ya madhabahu kama chakula, sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa moto. 12“ ‘Kama sadaka yake ni mbuzi, ataileta mbele za Bwana. 13Ataweka mkono wake juu ya kichwa chake na kumchinja mbele ya Hema la Kukutania. Kisha wana wa Aroni watanyunyiza damu yake kwenye madhabahu pande zote. 14Kutokana na ile sadaka anayotoa, atatoa sadaka hii kwa Bwana kwa moto: mafuta yote yanayofunika sehemu za ndani na yale yanayoungana nazo,
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.