Native Bible

Leviticus 27:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu* za fedha.

Leviticus 27:6 in English

Leviticus 27:6 · Berean Standard Bible

Now if the person is from one month to five years of age, then your valuation for the male shall be five shekels of silver,* and for the female three shekels of silver.*

Context

4ikiwa ni mwanamke, weka thamani yake kwa shekeli thelathini.* 5Kama ni mtu mwenye umri wa miaka kati ya mitano na ishirini, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli ishirini,* na mwanamke shekeli kumi.* 6Kama ni mtu mwenye umri kati ya mwezi mmoja na miaka mitano, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli tano za fedha, na ile ya mwanamke kuwa shekeli tatu* za fedha. 7Kama ni mtu mwenye miaka sitini na zaidi, weka thamani ya mwanaume kuwa shekeli kumi na tano,* na mwanamke shekeli kumi. 8Kama mtu yeyote anayeweka nadhiri ni maskini mno kuweza kulipa kiasi kilichowekwa, atampeleka huyo mtu kwa kuhani, ambaye ataweka thamani yake kulingana na kile mweka nadhiri anachoweza kulipa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.