Native Bible

Leviticus 25:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kisha nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa salama.

Leviticus 25:19 in English

Leviticus 25:19 · Berean Standard Bible

Then the land will yield its fruit, so that you can eat your fill and dwell in safety in the land.

Context

17Mmoja asimpunje mwingine, bali utamcha Mungu wako. Mimi ndimi Bwana Mungu wako. 18“ ‘Fuateni amri zangu, mwe waangalifu kutii amri zangu, nanyi mtaishi salama katika nchi. 19Kisha nchi itazaa matunda yake, nanyi mtakula na kushiba na kuishi humo kwa salama. 20Mwaweza kuuliza, “Tutakula nini katika mwaka wa saba ikiwa hatutapanda wala kuvuna mazao yetu?” 21Nitawapelekeeni baraka ya pekee katika mwaka wa sita, kwamba nchi itazalisha mazao ya kutosha kwa miaka mitatu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.