Native Bible

Leviticus 23:44 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kwa hiyo Mose akawatangazia Waisraeli sikukuu zilizoamriwa na Bwana.

Leviticus 23:44 in English

Leviticus 23:44 · Berean Standard Bible

So Moses announced to the Israelites the appointed feasts of the LORD.

Context

42Mtaishi katika vibanda kwa siku saba: Wazawa wote wa Waisraeli wataishi katika vibanda, 43ili wazao wenu wajue kuwa niliwafanya Waisraeli waishi kwenye vibanda nilipowatoa Misri. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.’ ” 44Kwa hiyo Mose akawatangazia Waisraeli sikukuu zilizoamriwa na Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.