Native Bible

Leviticus 23:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hamtafanya kazi kamwe. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo popote mnapoishi.

Leviticus 23:31 in English

Leviticus 23:31 · Berean Standard Bible

You are not to do any work at all. This is a permanent statute for the generations to come, wherever you live.

Context

29Mtu yeyote ambaye hatafunga siku hiyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake. 30Mtu yeyote atakayefanya kazi siku hiyo nitamwangamiza kutoka miongoni mwa watu wake. 31Hamtafanya kazi kamwe. Hili litakuwa agizo la kudumu kwa vizazi vijavyo popote mnapoishi. 32Ni Sabato ya mapumziko kwenu ninyi, na lazima mfunge. Tangu jioni ya siku ya tisa ya mwezi hadi jioni inayofuata, mtaishika Sabato yenu.” 33Bwana akamwambia Mose,

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.