Native Bible

Leviticus 23:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Siku ya kumi ya mwezi huu wa saba ni Siku ya Upatanisho. Mtafanya kusanyiko takatifu, mfunge, nanyi mtoe sadaka kwa Bwana ya kuteketezwa kwa moto.

Leviticus 23:27 in English

Leviticus 23:27 · Berean Standard Bible

“The tenth day of this seventh month is the Day of Atonement. You shall hold a sacred assembly and humble yourselves,* and present an offering made by fire to the LORD.

Context

25Msifanye kazi zenu zozote za kawaida, lakini toeni sadaka kwa Bwana iliyoteketezwa kwa moto.’ ” 26Bwana akamwambia Mose, 27“Siku ya kumi ya mwezi huu wa saba ni Siku ya Upatanisho. Mtafanya kusanyiko takatifu, mfunge, nanyi mtoe sadaka kwa Bwana ya kuteketezwa kwa moto. 28Msifanye kazi siku hiyo, kwa sababu ni Siku ya Upatanisho, ambapo upatanisho unafanyika kwa ajili yenu mbele za Bwana Mungu wenu. 29Mtu yeyote ambaye hatafunga siku hiyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.