Walawi 22:1
Leviticus 22:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Bwana akamwambia Mose,
Leviticus 22:1 in English
Leviticus 22:1 · Berean Standard Bible
Then the LORD said to Moses,
Context
1Bwana akamwambia Mose, 2“Mwambie Aroni na wanawe kushughulikia kwa uangalifu sadaka takatifu Waisraeli wanazoziweka wakfu kwangu, ili wasilinajisi Jina langu takatifu. Mimi ndimi Bwana. 3“Waambie: ‘Katika vizazi vijavyo, ikiwa yeyote wa wazao wako ni najisi kwa taratibu za kiibada, naye akakaribia sadaka takatifu zile Waisraeli wanazoweka wakfu kwa Bwana, mtu huyo lazima akatiliwe mbali na uso wangu. Mimi ndimi Bwana.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.