Native Bible

Leviticus 18:2 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.

Leviticus 18:2 in English

Leviticus 18:2 · Berean Standard Bible

“Speak to the Israelites and tell them: I am the LORD your God.

Context

1Bwana akamwambia Mose, 2“Sema na Waisraeli uwaambie: ‘Mimi ndimi Bwana Mungu wenu. 3Msifanye kama wafanyavyo huko Misri, mahali mlipokuwa mnaishi, wala msifanye kama wanavyofanya katika nchi ya Kanaani, mahali ninapowapeleka. Msifuate matendo yao. 4Ni lazima mzitii sheria zangu, na mwe waangalifu kuzifuata amri zangu. Mimi ndimi Bwana Mungu wenu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.