Native Bible

Leviticus 14:39 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Siku ya saba, kuhani atarudi kuikagua nyumba. Kama upele umeenea juu ya kuta,

Leviticus 14:39 in English

Leviticus 14:39 · Berean Standard Bible

On the seventh day the priest is to return and inspect the house. If the mildew has spread on the walls,

Context

37Atachunguza upele huo katika kuta za nyumba hiyo, nazo kama zina rangi ya kijani kibichi au wekundu, na kuna mibonyeo ndani ya ukuta, 38kuhani atatoka na kufunga mlango wa nyumba hiyo kwa siku saba. 39Siku ya saba, kuhani atarudi kuikagua nyumba. Kama upele umeenea juu ya kuta, 40ataagiza kwamba mawe yote yaliyoambukizwa yaondolewe na kutupwa katika eneo lililo najisi nje ya mji. 41Kuta zote za ndani ya nyumba hiyo ni lazima zikwanguliwe, na kifusi chake kitupwe mahali najisi nje ya mji.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.