Native Bible

Joshua 4:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Basi Bwana akamwambia Yoshua,

Joshua 4:15 in English

Joshua 4:15 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Joshua,

Context

13Kiasi cha watu 40,000 waliojiandaa kwa vita walivuka mbele za Bwana hadi nchi tambarare za Yeriko kwa ajili ya vita. 14Siku ile Bwana akamtukuza Yoshua mbele ya Israeli yote, nao wakamheshimu siku zote za maisha yake, kama vile walivyomheshimu Mose. 15Basi Bwana akamwambia Yoshua, 16“Waamuru hao makuhani wanaolibeba Sanduku la Ushuhuda, wapande kutoka ndani ya Mto Yordani.” 17Kwa hiyo Yoshua akawaamuru hao makuhani akisema, “Pandeni kutoka ndani ya Mto Yordani.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.