Native Bible

Joshua 22:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Yoshua akawaita Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase,

Joshua 22:1 in English

Joshua 22:1 · Berean Standard Bible

Then Joshua summoned the Reubenites, the Gadites, and the half-tribe of Manasseh

Context

1Ndipo Yoshua akawaita Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, 2naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Mose mtumishi wa Bwana aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru. 3Kwa muda mrefu sasa, hadi siku hii ya leo, hamkuwaacha ndugu zenu, bali ninyi mmetimiza ile kazi Bwana Mungu wenu aliyowapa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.