Yoshua 21:14
Joshua 21:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yatiri, Eshtemoa,
Joshua 21:14 in English
Joshua 21:14 · Berean Standard Bible
Jattir, Eshtemoa,
Context
12Lakini mashamba na vijiji vilivyozunguka mji mkubwa walikuwa wamempa Kalebu mwana wa Yefune kuwa milki yake. 13Kwa hiyo wazao wa kuhani Aroni wakapewa Hebroni (mji mkuu wa makimbilio kwa ajili ya yeyote aliyeshtakiwa kwa mauaji), Libna, 14Yatiri, Eshtemoa, 15Holoni, Debiri, 16Aini, Yuta na Beth-Shemeshi, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji tisa kutoka kwa makabila haya mawili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.