Native Bible

Joshua 20:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ndipo Bwana akamwambia Yoshua,

Joshua 20:1 in English

Joshua 20:1 · Berean Standard Bible

Then the LORD said to Joshua,

Context

1Ndipo Bwana akamwambia Yoshua, 2“Waambie Waisraeli, watenge miji mikubwa ya kukimbilia, kama nilivyokuagiza kupitia Mose, 3ili mtu yeyote atakayemuua mtu kwa bahati mbaya na pasipo kukusudia aweze kukimbilia huko na kujiepusha na mlipiza kisasi wa damu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.