Yona 4:1
Jonah 4:1 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Lakini Yona alichukizwa sana akakasirika.
Jonah 4:1 in English
Jonah 4:1 · Berean Standard Bible
Jonah, however, was greatly displeased, and he became angry.*
Context
1Lakini Yona alichukizwa sana akakasirika. 2Akamwomba Bwana, “Ee Bwana, hili si lile nililolisema nilipokuwa ningali nyumbani? Hii ndiyo sababu niliharikisha kukimbilia Tarshishi. Nikifahamu kuwa wewe ni Mungu mwenye neema na huruma, si mwepesi wa hasira na umejaa upendo, ni Mungu ambaye hughairi katika kupeleka maafa. 3Sasa, Ee Bwana, niondolee uhai wangu, kwa kuwa ni afadhali mimi nife kuliko kuishi.”
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.