Native Bible

Job 17:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

liko wapi basi tarajio langu? Ni nani awezaye kuona tarajio lolote kwa ajili yangu?

Job 17:15 in English

Job 17:15 · Berean Standard Bible

where then is my hope? Who can see any hope for me?

Context

13Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi,* kama nikikitandika kitanda changu gizani, 14kama nikiuambia uharibifu, ‘Wewe u baba yangu,’ na kuliambia buu, ‘Wewe u mama yangu’ au ‘Dada yangu,’ 15liko wapi basi tarajio langu? Ni nani awezaye kuona tarajio lolote kwa ajili yangu? 16Je, litashuka chini hadi kwenye malango ya mauti?* Je, tutashuka pamoja mavumbini?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.