Native Bible

Job 15:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; matumbo yao huumba udanganyifu.”

Job 15:35 in English

Job 15:35 · Berean Standard Bible

They conceive trouble and give birth to evil; their womb is pregnant with deceit.”

Context

33Atafanana na mzabibu uliopukutishwa matunda yake kabla hayajaiva, kama mzeituni unaodondosha maua yake. 34Kwa kuwa jamii ya wasiomcha Mungu watakuwa tasa, nao moto utateketeza hema za wale wanaopenda rushwa. 35Hutunga mimba ya madhara na kuzaa uovu; matumbo yao huumba udanganyifu.”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.